Mpanda Municipal Council

Mpanda Municipal Council

Mpanda Municipal Council 0 vacancies

Mpanda, Tanzania

Share:

About

Halmashauri ya Manispaa Mpanda ilianza kama Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mpanda tarehe 1 Julai, 1990 kwa mujibu wa gazeti la Serikali Namba 137 la tarehe 8, Juni, 1990. Aidha tarehe 1 Julai, 2003 Hati ya kuanzishwa rasmi kwa Mamlaka ya Mji Mdogo ilitolewa na Halmashauri mama (Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda).  Miaka miwili baadaye Serikali kupitia gazeti la Serikali Namba 218 la tarehe 29 Julai, 2005 ilitangaza nia ya kuanzishwa kwa Halmashauri ya Mji wa Mpanda.  Hivyo, Serikali ilitangaza kuanzishwa rasmi kwa Halmashauri ya Mji wa Mpanda tarehe 1 Julai, 2007 kupitia tangazo la Serikali Namba 136 la tarehe 29 Septemba 2006. Halmashauri hii  ni  miongoni mwa Halmashauri mpya 13 zilizoanzishwa rasmi katika mwaka wa fedha 2007/2008, na kujitenga kutoka kwenye Halmashauri zao za awali. Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ilitangazwa rasmi tarehe 01, Julai 2015 kupitia tangazo la Serikali Namba 220

Company Size: 300 - 10000 (Large Organization)

Industry: Government

Location: Mpanda, Tanzania

Status: active

Contact Details

Login to view contact details.

Login

No vacancies available